BI TAIFA AGOSTI 08, 2019

Faith Nyambura, 20, anatupambia tovuti yetu. Yeye ni mwanafunzi wa uanahabari katika chuo kimoja mjini Nakuru. Uraibu wake ni kusafiri, kuogelea na kutazama filamu. Picha/Richard Maosi