BI TAIFA AGOSTI 10, 2019

Malkia wetu anafahamika kama Teresia Sorobi, 25. Yeye ni mfanyibiashara katika Kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kupika na kutazama filamu za Soap Opera. Picha/Richard Maosi