BI TAIFA AGOSTI 11, 2019

Juliana Nyaboke, 23, ni mzaliwa wa Kaunti ya Kisii.  Yeye ni mwanamitindo na mfanyibiashara maarufu. Uraibu wake ni kusoma vitabu na kuogelea. Picha/Richard Maosi