BI TAIFA AGOSTI 14, 2019

Carol Njeha, 30,  anatupambia tovuti yetu. Yeye ni mfanyabiashara na mwanamitindo jijini Nairobi. Uraibu wake ni kusakata densi, kupika na kusafiri. Picha/Richard Maosi