BI TAIFA AGOSTI 14, 2020

Cythia Sydney Cherop 21, ni mwanamitindo wa eneo la Shaabab Kaunti ya Nakuru. Muda wake anapenda kusafiri na kutazama filamu. Picha/Richard Maosi