BI TAIFA AGOSTI 15, 2020

Edith Njoka ni mzaliwa wa kaunti ya Embu. Yeye ni mfanyibiashara kutoka kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kutazama filamu na kusoma Biblia. Picha/Richard Maosi