BI TAIFA AGOSTI 17, 2020

Alya Khalid 20 ni mzaliwa wa kaunti ya Kisii, yeye ni mchoraji shupavu wa vibonzo. Uraibu wake ni kusoma na kujumuika na marafiki. Picha/Richard Maosi