BI TAIFA AGOSTI 19, 2020

Esther Wanjiri ni mwanafunzi wa uanahabari katika Chuo kimoja mjini Nakuru. Kwa sasa amefikisha miaka 23. Uraibu wake ni kusikiliza muziki wa kuzazi kipya na kusakata densi.
 Picha/Richard Maosi