BI TAIFA AGOSTI 2, 2020

Najib Dollow ni mzaliwa wa kaunti ya Nakuru kwa sasa amehitimu miaka 28.Yeye ni mfanyibiashara na mwanafasheni. Uraibu wake ni kutazama filamu za Soap Opera.
Picha/Richard Maosi