BI TAIFA AGOSTI 24, 2020

Carol Jordan 27, amebobea katika sekta ya utalii na mikahawa. Yeye ni mkazi wa kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kujumuika na marafiki na kutazama filamu. Picha/Richard Maosi