BI TAIFA AGOSTI 27, 2020

Hilda Motanya 30, ni mwanafasheni katika Kaunti ya Uasin Gishu. Yeye ni mshindi wa tuzo ya Miss Red Cross Kenya. Anapenda kujumuika katika kumbi za kukuza talanta za watoto. Picha/Richard Maosi