BI TAIFA AGOSTI 3, 2020

Becky Makaka mwenye umri wa miaka 21, ndiye anatupambia wavuti letu leo. Yeye ni mkazi wa eneo la Kenlands kaunti ya Nakuru. Mbali na kuwa mfanyibiashara anapenda kusakata densi na kupika. Picha/Richard Maosi