BI TAIFA AGOSTI 5, 2020

Ruth Chumba mwenye umri wa miaka 21 ni mwigizaji shupavu wa filamu za kizazi kipya kutoka kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kusoma na kuchanganua kazi za sanaa. Picha/Richard Maosi