BI TAIFA AGOSTI 6, 2020

Dorcas Dee Jeruto mwenye umri wa miaka 20 ni mwigizaji wa filamu kutoka Kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kusoma, kuogelea na kupiga picha. Picha/Richard Maosi