BI TAIFA AGOSTI 7, 2020

Kendly Ann mwenye umri wa miaka 22 ni mfanyibiashara na mwanamitindo katika Kaunti ya Nairobi. Anapenda kusikiliza muziki na kutangamana na marafiki.
Picha/Richard Maosi