BI TAIFA AGOSTI MOSI, 2019

Mrembo wetu anafahamika kama Joy Blanca Tavy 21. Yeye ni mwanafunzi katika chuo kimoja mjini Nakuru. Wakati wake mwingi anapenda kusafiri na kutazama filamu. Picha/Richard Maosi