BI TAIFA APRILI 10, 2018

Florence Vata, 18, ni mkazi wa jiji la Mombasa. Uraibu wake ni kula mapochopochoa,  kukimbia na kusoma vitabu. Vile vile yeye hupenda kuogelea, kucheza na kutizama filamu. Picha/ Kazungu Samuel