BI TAIFA APRILI 11, 2018

Mercy Seruya ana umri wa miaka 23. Ni mkazi wa jijini Mombasa. Uraibu wake ni kutazama filamu, kutembea maeneo mbalimbali ya taifa la Kenya, kusoma vitabu. Vile vile, yeye hucheza filamu. Picha/ Kazungu Samuel