BI TAIFA APRILI 12, 2019

Grace Oteki, 22, ni mwanahabari chipukizi katika Chuo Kikuu Cha USIU jjjini Nairobi. Anapenda kupika na kutazama filamu. Picha/Richard Maosi