BI TAIFA APRILI 13, 2018

Rosemary Ngari, 23, ni mkazi jijini Mombasa. Uraibu wake ni kusoma vitabu, kutazama filamu, kusikiliza muziki wa Bongo.
Vile vile yeye ni mwanamitindo na pia mwigizaji wa filamu. Picha/ Kazungu Samuel