BI TAIFA APRILI 15, 2020

Malkia wetu anajulikana kama Monica Maina, amehitimu miaka 26. Yeye ni mzaliwa wa Kitale. Uraibu wake ni kusafiri, kupika na kutazama filamu. Picha/Richard Maosi