BI TAIFA APRILI 16, 2020

Hanna Njeri mwenye umri wa 23 ni mfanyibiashara kutoka kaunti ya Nakuru. Mbali na kujihusisha na ulimwende anapenda kusakata densi na kutangamana na marafiki.
Picha/Richard Maosi