BI TAIFA APRILI 17, 2019

Huyu hapa Lillian Braun, 22, ni mfanyibiashara na mshauri wa mapambo kutoka Kaunti ya Nakuru. Yeye hutumia wakati wake mwingi kucheza densi. Picha/ Richard Maosi