BI TAIFA APRILI 18, 2019

Pauline Wangari, 19, ni mwanamitindo chipukizi kutoka eneo la Ol-Kalou viungani mwa mji wa Nakuru. Anaenzi kutazama filamu na kuimba. Picha/ Richard Maosi