BI TAIFA APRILI 2, 2020

Scholar Wanjiru, 21 mzaliwa na mkazi wa Elburgon ambaye ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Kiriri mjini Nairobi ndiye mgeni wetu. Uraibu wake ni kusoma riwaya, kusafiri na kuimba. PICHA/JOHN NJOROGE.