BI TAIFA APRILI 20, 2018

EMMA Michuki, 21, ni mwanamitindo mjini Eldoret. Uraibu wake ni kusafiri, kuimba ma kusikiliza muziki. Picha/ Anthony Omuya