BI TAIFA APRILI 4, 2020

Bi Mirriam Wairimu, kutoka Elburgon ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Cooperative jijini Nairobi. Uraibu wake ni kusafiri, kutazama filamu na kuimba. PICHA/JOHN NJOROGE.