BI TAIFA APRILI 8, 2020

Vivian Moraa, 20, ni mzaliwa wa eneo la Keroka kaunti ya Kisii. Ni mwanahabari chipukizi na mtaalamu wa kurekodi muziki. Uraibu wake ni kutazama filamu na kujumuika na marafiki. Picha/Richard Maosi