BI TAIFA DESEMBA 10, 2019

Faith Nyaranga 27 ndiye anatupambia tovuti yetu  leo. Yeye ni mwigizaji kutoka jijini Nairobi . Anapenda kusoma na kutazama filamu za Soap Opera.
Picha/Richard Maosi