BI TAIFA DESEMBA 3, 2019

Eunice Kwanzu, 23, ndiye anatupambia tovuti yetu, yeye ni mwigizaji chipukizi kutoka jijini Nairobi, akipata muda anapenda kubuni muziki na kuchora.
Picha/Richard Maosi