BI TAIFA DESEMBA 4, 2019

Sarah Miraji, 20, ndiye malkia wetu leo, yeye ni mwanamitindo na mfanyibiashara mwenye tajriba pana katika ulingo wa vipodozi. Akipata muda anapenda kusoma na kutazama filamu.
Picha/Richard Maosi