BI TAIFA DESEMBA 7, 2019

Rahab Muruga, 25 ni mzaliwa wa kaunti ya Kericho.Y eye ni mfanyibiashara na mwanamitindo. Uraibu wake ni kusakata kabumbu na kujumuika na marafiki.

Picha/Richard Maosi