BI TAIFA DESEMBA 8, 2019

Mgeni wetu leo anajulikana kama Mercy Siti Waridi 20. Yeye ni mkazi wa Kikopey kaunti ndogo ya Gilgil. Mbali na kushiriki mashindano ya uanamitindo akipata muda anapenda kutunga na kuimba mashairi.

Picha/Richard Maosi