BI TAIFA DESEMBA MOSI 2019

Grace Githinji 19 ndiye anatupambia tovuti yetu leo, yeye ni mwanamitindo kutoka Nakuru. Uraibu wake ni kusafiri na kutazama filamu. Picha/Richard Maosi