BI TAIFA FEBRUARI 13, 2018

Angela Muiruri ni mwanamitindo na mtangazaji wa redio jijini Nairobi.  Anaenzi kucheza muziki, kuchangamsha wasikilizaji, kusoma vitabu na kutazama filamu. Picha/ Anthony Omuya