BI TAIFA FEBRUARI 15, 2018

ALICIA Mueni, 21, ni mwanamitindo jijini Nairobi. Uraibu wake ni kuogelea, kusafiri na kutazama filamu. Picha/ Anthony Omuya