BI TAIFA FEBRUARI 18, 2018

IRENE Mwangi, 23, ni mwanamitindo jijini Nairobi. Uraibu wake ni kusoma vitabu, kusikiliza muziki na kusafiri. Picha/ Anthony Omuya