BI TAIFA FEBRUARI 22, 2019

SAKEENAH RAYSHEED ni mwanamitindo kutoka kaunti ya Kirinyaga. Uraibu wake ni kucheza densi, kuogelea na kutazama sinema aina ya ‘Soap Opera’. Picha/ Joseph Kanyi