BI TAIFA FEBRUARI 23, 2018

FAITH MUTHEU ni Katibu katika Kampuni ya Mawakili inayopatikana jijini Mombasa. Uraibu wake ni kusoma riwaya, kuogelea na kutazama filamu. Picha/ Wachira Mwangi