BI TAIFA FEBRUARI 27, 2019

Kisura huyu ni Villarine Chepkemoi 22. Yeye ni mwanamitindo kutoka Kericho na mfanyabiashara. Uraibu wake ni kusoma na kuogelea.
Picha/Richard Maosi