Bi Taifa Bi Taifa

BI TAIFA, HARRIET NEEMA

Harriet Neema, 20, kutoka Kitale, Kaunti ya Trans Nzoia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kabarak ambapo anasomea Elimu. Yeye hupenda kuchora na kushiriki mitindo. BONIFACE MWANGI|TAIFA