BI TAIFA, HARRIET NJEHIA

Harriet Njeri Njehia ni mkazi wa Pokot Magharibi. Yeye ni mfanyabiashara wa mapambo na bidhaa za urembo. Anapenda mapambo na fasheni. Ndoto yake ni kuwa mfanyabiashara mkubwa wa bidhaa na huduma za kimapambo.

Mtafute kwa Instagram @harrietnjehia, na kwa X (zamani Twitter) @NjehiaHarriet