BI TAIFA JUMAMOSI, APRILI 6, 2019

AWINO Kagie, 22, ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Egerton, Njoro katika Kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kuogelea na kusikiliza muziki. Picha/ John Njoroge