BI TAIFA JUMAMOSI, JULAI 20, 2019

ASHER Annex, 23, ni mwanafunzi katika Chuo cha Mwangaza, Nakuru. Uraibu wake ni kuogelea, kusafiri na kukutana na marafiki wapya. Picha/ Joseph Kuria