BI TAIFA JUNI 07, 2019

Gloria Katunge 23 ni mkazi wa Mumbuni, Machakos.Yeye ni mfanyibiashara maarufu mjini humo na anapenda kusoma Biblia na Kusafiri. Picha/Richard Maosi