BI TAIFA JUNI 08, 2019

Mary Nyawira ni mwanafunzi wa taaluma ya mapambo kutoka Vera Beauty College mjini Nakuru. Yeye ni mshonaji wa mavazi ya kisasa na mfanyabiashara. Uraibu wake ni kuimba na kupika. Picha/Richard Maosi