BI TAIFA JUNI 09, 2019

Kate Wanderi ni mwanafunzi wa Uanahabari kutoka Chuo Kikuu Cha Laikipia bewa kuu. Uraibu wake ni kusoma, kuogelea na kupika. Picha/Richard Maosi