BI TAIFA JUNI 11, 2019

Fridah Talaam, 19 ndiye Miss Nakuru 2019/2020. Yeye ni mwanafunzi wa Vera Beauty College Nakuru. Uraibu wake ni kuogelea na kusafiri. Picha/Richard Maosi