BI TAIFA MACHI 04, 2020

Randy Finike, 22, ni mwanamitindo na mtaalamu wa miondoko kutoka Nakuru, amewahi kuibuka bora katika mashindano ya Miss Nakuru. Anapenda kutazama filamu na kujumuika na marafiki.

Picha/Richard Maosi