BI TAIFA MACHI 1, 2020

Everlyn Kisilu, 27, ndiye anatupambia tovuti yetu. Yeye ni mwanafasheni jijini Nairobi.  Anapenda kusafiri, kuimba na kutazama filamu. Picha/ Richard Maosi